Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Bashe akizungumza na wafanyakazi (hawapo pichani) wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) alipotembelea Mamlaka hiyo hivi karibuni. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TFRA Dkt Stephan Ngailo akisikiliza kwa makini maelekezo ya Mhe. Bashe.