Waziri wa Kilimo Mhe. Bashe Azinduzi Ugawaji wa Vishikwambi na POS Kwa Maafisa Ugani Kilimo na Mawakala wa Pembejeo za Kilimo Mtumba, jijini Dodoma ambapo vishikwambi 3500 pamoja na POS vitarahishisha usajili wa wakulima katika mifumo ya ugawaji wa pembejeo na upimaji wa afya ya udongo.