Wanawake shupavu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wakitoa huduma mbalimbali kwenye banda la TFRA wakati wa maonesho kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani yanayoendelea katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid
Mwakilishi wa Ruzuku Mkoa wa Arusha, Hynec Mwanga akimsajili mkulima Alphonce Massaga anayejishughulisha na kilimo cha mahindi katika Kata na Kijiji cha Laroi wilaya Arusha Vijijini mkoani Arusha alipotembelea banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wakati wa maonesho kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani yanayoendelea katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid.
Mwakilishi wa Ruzuku Mkoa wa Kilimanjaro, Maria MMasy akimsajili mkulima alipotembelea banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wakati wa maonesho kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani yanayoendelea katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid.